Vladmir Putin ameshinda uchaguzi huuo kwa zaidi ya asilimia 60% na anayemfuata kwa ushindi amepata 17%. Huku machozi yakimtoka mbele ya wanachama na watu wapatao 100,000 walio kuwepo kwenye makao makuu ya chama United Russia Vladmir Putin alisema "tumeshinda kama tulivyo ahidi na ni ushindi kwa wale wote waitakiayo Urusi mema."yafaa kuashiria kwamba ushindi huu wa kushika hatamu za nchi ni wa mara ya tatu kwa Vladmir Putin Vladmir Putin alihutubia mkutano huo baada ya mtokeo ya uchaguzi na kutoa shukrani zake kwa ushindi huo adhim.
4 Machi 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 300618
ABNA inatupasha habari kwamba: Matokeo ya uchaguzi nchini Urusi yameonyesha ushindi mkubwa kwa Putin ambapo amechukua asilimia kubwa kuliko wapinzani wake.